Mike Tyson Azuiwa Kuingia Uingereza, Fuatilia Sababu Hapa.
kuzuiwa kuingia nchini Uingereza kwa sababu amewahi kutiwa hatiani nchini humo.
Tyson alitarajiwa kuhudhuria tukio la kutangaza kitabu chake ambapo bondia huyo bingwa wa zamani alitumikia kifungo jela miaka mitatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kumbaka mshindani wa ulimbwende kwenye jimbo la indiana nchini Marekani mwaka 1992.
Mtu yeyeto ambaye amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka minne haruhusiwi kuingia Nchini Uingereza kulingana na sheria za uhamiaje za nchi hiyo
No comments:
Post a Comment