Wednesday, 11 December 2013

MAN CITY NA BAYERN WATOA HESHIMA ZAO KWA MANDELA


MAN CITY NA BAYERN WATOA HESHIMA ZAO KWA MANDELA


Manchester City pamoja na Bayern walitioa heshima kwa Nelson Mandela kabla ya kuanza mechi. Viongozi zaidi ya 100 walikusanyika kwenye uwanja wa FNB ili kumfanyia misa Nelson Mandela

Tazama picha chini uone jinsi timu hizo mbili zilivyotoa heshima zao kwa Nelson Mandela


Nelson Mandela

No comments:

Post a Comment