Sunday, 22 December 2013

Kangamoko Ndembendembe Katika 'Bethidei' ya Dada w...


Kangamoko Ndembendembe Katika 'Bethidei' ya Dada wa Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Iliyofanyika Ukumbi wa Business Park Uliopo Victoria Kijitonyama Jijini Dar Jana...

Wamejaribu kupiga marufuku uchezaji wa aina hii...

Na swali langu linabakia kuwa lile lile...

Kuna ubaya gani kwa watu wazima kufurahia maisha kwa kucheza namna hii kama hakuna watoto  wanaohusika kwa namna yo yote ile? Ni lazima kweli tuingilie mambo madogo madogo kama haya? 

Mbona ngoma za aina hii zilikuwepo katika makabila yetu hata kabla ya internet? Chunguza ngoma nyingi za pwani, maidogori kule Ukerewe, Chagulaga kwa Wasukuma na kwingineko...Mbona tulikuwa hatuzilalamikii zamani? Why now? 
:

No comments:

Post a Comment