Friday, 6 December 2013

Drake Aingia Mkataba Na Kampuni Ya Michael Jordan


Drake Aingia Mkataba Na Kampuni Ya Michael Jordan

Msanii wa Young Money kutoka Toronto Rapper Drake ameweka instagram picha tofauti za bidha yake ya Ovo Ikiwa Na
Logo Ya Bidha ya Jordan kumanisha kuwa sasa kampuni hizi mbili zinafanya kazi pamoja.  Drake ameonyesha matoleo la  OVO na Jordan X na XII ambayo bado hayajaingia sokoni. Jordan wametangaza kufanya kazi na Drake kupitia twitter.

No comments:

Post a Comment