Friday, 13 December 2013

DIAMOND PLATNUMZ AVAA SURUWALI YAKE YENYE VIOJA NA KUOMBA WATU WASIMPONDE

DIAMOND PLATNUMZ AVAA SURUWALI YAKE YENYE VIOJA NA KUOMBA WATU WASIMPONDE

Diamond, baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyovaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.

No comments:

Post a Comment