BATULI NA SKYNER ALI NI WASANII WAREMBO SANA HAPA TANZANIA ..... NANI KATISHA?
Yobnesh Yussuph aka Batulli na Skyner Ali ni waigizaji warembo wa filamu nchini. Kuna vingi wanavyofanana kuanzia wote kuwa mama watoto na vitu vingine. Kwakuwa ‘selfie’ na Instagram ndio habari ya mjini sasa hivi, Hebu funguka mwenyewe nani mwenye pozi zuri zaidi katika picha hizo za kujipiga wenyewe.
Skyner
Batulli
No comments:
Post a Comment