Wednesday, 27 November 2013

WEMA SEPETU AJUTA KUTUMIA MKOROGO, ATAMANI NGOZI YAKE YA AWALI......


Habari ni kuwa Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania
2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na
hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao
mwanzo kabla ya kuanza
kujichubua. Chanzo kimoja makini ambacho kipo karibu na
Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimeitonya blog
yetu jana kuwa Wema anajuta kujichubua na hajiamini tena
katika urembo tofauti na miaka ya nyuma kwani kila mtu
sasa hivi anajua Wema ni fake na amejaa urembo wa
kichina kwa aslimia kubwa.
" Wema mliyekuwa mwamjua kwa kujiamini si huyu wa
sasa yaani anajuta kutumia mkorogo baada ya kujeruhiwa
na madawa hayo yenye sumu, na zile habari kuwa alienda
China kuwekwa ngozi ya bandia zilipoenea ndiyo kabisa
zikamvunja nguvu, kiufupi Wema anatamani ngozi yake ya
mwanzo sababu wengi wanajua urembo wake ni fake,
unajua yule amezungukwa na wanafiki wengi wanamsifia
hata katika mambo yasiyo na msingi ndiyo sababu akawa
anazidisha mkorogo wakati anasifiwa eti mzuri na ana
mvuto, sasa yamemtokea na puani... mimi akhaa! siwezi
kuingia kwenye mkumbo huo" kilisema chanzo hicho.
Wema Sepetu
.........

No comments:

Post a Comment