Tuesday, 26 November 2013

WASANII WA BONGO MOVIE WASUSIA TENA KISOMO CHA MAREHEMU SHARO MILIONE KATIKA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI!!!!!!.!

Marehemu SHARO MILIONEA
Tarehe ya leo familia ya marehemu Sharo milione na
watanzania wanamumbuka mwanamuziki huyo tangu
alipotutoa mwaka jana tarehe kama hii.
Habari toka Mkoani Tanga zinasema kuwa wasanii
mbalimbali wa kundi la Komedi wako mkoani humo kwa
ajili kushiriki kisomo huku kukiwa na dosari kwa wasanii
wa bongo movie ambao hakuna hata mmoja aliyetia maguu
yake huko.
Mwandishi ambae yuko Mkoani humo kushiriki kikamilifu
kwenye kumbukumbu hiyo alisema kuwa shughuri hiyo
inaendelea vyema huku Kitale ndiye anaeongoza kisomo
pamoja kusimamia shughuri nzima.
Hata hivyo mashabiki wengi wa filamu wamesikitishwa
kwa ubaguzi unaoendelea kwa wasanii wa Bongo Muvi
ambao hawataki kushirikiana na wenzao kwa madai kuwaa
wao ni bora kuliko wenzao.

No comments:

Post a Comment