Monday, 25 November 2013

TAZAMA PICHA INFO JUSTIN BIEBER

Picha Na Info, Justin Bieber Na Manager Wake Scooter Braun Kwenye Cover La Jarida La The Hollywood Reporter's

 
Star wa Pop Justin Bieber Na Manager Wake Scooter Braun wapo Kwenye Cover La Jarida La The Hollywood Reporter's kwenye toleo la November 29. Fuatilia Hapa
Kwenye toleo hili Justin na Scooter wamefunguka kuwa wasanii wengi Marekani wanawapa ushirikiano kwenye kazi zao na kuwa wanapenda maendeleo ya Justin. Wasanii hao ni pamoja na Eminem, Drake na Will Smith.

Mastaa hawa humpigia simu Justin na kumjulia hali, kama kuna matatizo wanampa ushauri wa kuwa msanii na mtu bora kwenye maisha. Mara nyingi Justin anazungumza na Will Smith kuhusu maisha na biashara pale anapokuwa kwenye wakati mgumu.

Drake ni kama kaka wa Bieber, humpigia simu na kumpa story za muziki na issue zingine za ujana ambazo Justin hupitia kila siku kwenye muziki wake.

No comments:

Post a Comment