Tuesday, 26 November 2013

JACK CLIFF NA JUX BADO NI UTATA...WAPENZI AMA MARAFIKI..! SOMA HAPA...!! Kwa muda mrefu muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux na video vixen wa Tanzania, Jackie Cliff wameendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini bado picha zinazowaonesha wakiwa pamoja, zimeendelea kuzalisha maswali mengi vichwani mwa watu wanaowafahamu. Hivi karibuni, Jux alipost picha Instagram akiwa amemshikilia Jackie mkono wakitembea pamoja kama mtu na mpenzi wake na kuandika: We jus outchea livin our mfkn lives. Siku chache kabla ya picha hiyo, Jackie naye alipost picha akiwa na Jux na kuandika: My bff is better than yours..’ Miezi mitatu iliyopita , Jackie ambaye ameonekana kwenye video ya Linex ya wimbo wake Kimugina hivi karibuni, aliweka picha ya Jux na kuandika ujumbe mrefu wa kumtakia siku njema ya kuzaliwa akisema:

JACK CLIFF NA JUX BADO NI UTATA...WAPENZI AMA MARAFIKI..! SOMA HAPA...!!

Kwa muda mrefu muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux na video vixen wa Tanzania, Jackie Cliff wameendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini bado picha zinazowaonesha wakiwa pamoja, zimeendelea kuzalisha maswali mengi vichwani mwa watu wanaowafahamu.

Hivi karibuni, Jux alipost picha Instagram akiwa amemshikilia Jackie mkono wakitembea pamoja kama mtu na mpenzi wake na kuandika: We jus outchea livin our mfkn lives. Siku chache kabla ya picha hiyo, Jackie naye alipost picha akiwa na Jux na kuandika: My bff is better than yours..’

Miezi mitatu iliyopita , Jackie ambaye ameonekana kwenye video ya Linex ya wimbo wake Kimugina hivi karibuni, aliweka picha ya Jux na kuandika ujumbe mrefu wa kumtakia siku njema ya kuzaliwa akisema:

No comments:

Post a Comment