Mweusi G-Warawara amelikuna sikio la
Mwana FA kwa uwezo wake mkubwa wa
uimbaji wa chorus. Rapper huyo wa Arusha
amesikika akiimba chorus nyingi mwaka huu
ukiwemo wimbo wa Country Boy, Watch Me,
Nje ya Box ya Joh Makini na Nikki wa Pili na
zingine.
“But haya ma’hook ya Gee Nako…
dooooopeeee…remind me of Lost Boyz….,”
ametweet FA.......
No comments:
Post a Comment