Tuesday, 26 November 2013

Baada Ya Mwezi Na Wiki Mbili, Tunda Asema Siku Ya Kutambulishwa 'Msambinungwa'

Uzinduzi wa wimbo mpya wa Tunda Man 'Msambinungwa'
uliotengenezwa na producer Maneck wa Am Records
unatoka jumamosi hii kwenye show iliyoandaliwa na Tunda
Man pale pale Ambassadors Lounge.

No comments:

Post a Comment